Monday, September 24, 2012

CHEKA UNENEPE


Wednesday, September 19, 2012

WAKATI MWINGINE TEMBO KUMFUKUSA SISIMIZI NI KUJIDHARAULISHA.

Waandishi wa habari Tanzania ni wabinafsi au? au watanzania wote ?
habari zaidi bonyeza  hapa

Wednesday, April 11, 2012

WASANII MJINI KAHAMA WAMEGUSWA NA MSIBA WA KANUMBA


Friday, September 2, 2011

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu (Most vulnerable children

Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Africa zinzokabiliwa na wimbi kubwa la watoto wanoishi katika mazingira magumu .
Utafiti ulliofanyika ulitambua makundi mbalimbali ya watoto hao ikiwa ni pamoja na -
1. Watoto yatima ( Orphan children)
2. Watoto wenye ulemavu ( Children with disabilities)
3.. Watoto wanaojilea ( Children parents)
4. Watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi (Children with HIV/AIDS)
5. .Watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albino)
6.. Watoto wa mtaani (Children in/of street)
7. Watoto walioathirika kwa ubakaji (Children victim of rape)
8. Watoto wanaolelewa na wazee kupindukia (Children in eldery families)
9. Watoto walio kwenye ajira hatarishi (Children in exploitative labour)
10. Watoto walio kwenye biashara ya ngono ( Children sex workers)
11. Watoto wenye magonjwa sugu k.m. kifafa ( Chronicaly ill children)
12. Watoto waliopata mimba za mapema (Early pregnancy)
13. Watoto waliotelekezwa (Children in foster families)
14. Watoto walioathirika kwa madawa ya kulevya (Drug abuse children)
15. Watoto waliolazimishwa kuingia kwenye ndoa (Forced marriage)

HOJA.
1. Jamii inajua nini kuhusu makundi haya ya watoto?
2. Mikakati gani ifanyike ili kuhudumia makundi haya ya watoto hasa vijijini?
3. Serikali ichukue hatua zipi ili kunusuru maisha na ongezeko la watoto hawa?
4. Njia gani zitumike ili kupata takwimu zinazoonyesha tatizo hili kila wakati kitaifa?

Thursday, September 1, 2011

HATA WANAWAKE SASA WAMEINGIA LASMI KATIKA FANI YA WIZI,UJAMBAZI,NA UCHOMOAJI KAURI MBIYU YAO NI Haki sawa Kwa wote.  1. anakimbilia katika mji wa watu kumba mssaada
mwenye duka anamuamulu avue nguo zote

anakimbilia katika tempo ya wahindi

jamaa anamshushia kichapo
anakimbia kujiokoa
baada ya kuvuliwa nguo
kahama kumeibuka na wimbi la wezi wanawake wanao iba katika maduka kwa kutumia taimingi na wepesi wa hali ya juu.kutona na kushamili kwa wizi wa aina hiyo katika maduka baadhi ya watu walianza kuamini kwamba wanao iba wanatumia nguvu za giza. hata hivyo imani yao ilbadilika gafla baada ya wa dada wawili kukamatwa na baada ya kupigwa sana walikubali kwamba wao ni wezo wanaoiba kwa mahesabu.
mmoja wa hao wadada wezi alifumaniwa katika duka la nguo hapo uhindini kahama mjini ni baada ya mwenye duka kutoka kwenda duka la pili kuomba chenji dada mwizi aliingia kama umeme na kukomba simu pamoja na  pesa laki moja.kwa bahati nzuri kabla hajatoka humo dukani mwenye duka ailfika kafla na kumuuliza kwanini ameingia dukani bila idhini. baada ya mwizi kushindwa kujitetea alishushiwa kichapo ambacho kilisababisha baadhi ya watu kujaa hapo mwenye duka alimuamulu avue nguo zote na kuanza kumsachi alifanikiwa kupata vitu vyote.baada ya hapo alimtoa nje ndipo kundi la wananchi lilipo mvamia nakuanza kumpiga. kama si kukimbilia katika jumba la kuabudia wahindi basi pengine watu wangemuuwa.

Wednesday, August 31, 2011

LAST OPPORTUNITY FILAM MPYA TOKA KAHAMA

PASCHAL JOHN MMOJA WA WASHIIRIKI WA FILAM HIYO AKIWA KATIKA MAZOEZI.

DR.ZEDY AKIWA NA WASANII SIKU YA TAMASHA KAHAMA

[kutoka kushoto,Dr.zedy,Ney wamitego,Matonya,Hans,Joseline]
Hawa ni miongoni mwa wasanii waliofika kwenye tamasha lililoandaliwa na Vodacom, Safari Larger pamoja na CRDB Bank wakiwa na Dr.zedy katika picha ya pamoja.

IKIWA HALI NDIYO HII TUTAEPUKA KIPINDUPINDU


samaki wanauzwa
samaki wakiwa wanauzwa
Hali inakuwa tata sana kwa wakazi wa Kahama ,ambapo inaonekana fika idara ya afya kushindwa kuwadhibiti wafanyabiashara wa samaki katika maeneo ya biashara .Inaonekana dhahiri mlipuko wa magonjwa yakipindupindu yaweza kutokea wakati wowote kutokana na kutokudhibiti hali ya usafi katika soko dogo wilayani Kahama.

TAMASHA LA VODACOM,CRDB,NA KAMPUNI YA BIA LASABABISHA USUMBUFU NA MSONGAMANO WA MAGARI KAHAMA.

Tamasha la vodacom linalo tarajiwa kufanyika leo mjini kahama limegeuka kelo kubwa na usumbufu baada ya kufungwa kwa barabara kuu.na badala yake kusimikwa jukwaa kubwa kwa ajili ya kufanyia tamasha hilo.huku huku viwanja vingi vya wazi vikiachwa bila sababu yoyote ya msingi

wasanii wanaotarajiwa kushiriki katika tamasha hilo ni pamoja na:

1.seif shabani aka matonya
2.ney wa mitego
3.joslin
4.quick racca
5.selemani msindi aka afande sele


pia watakuwepo na wasanii wa vichekesho
1.senga
2.pembe NA wengine kibaoo.

Thursday, August 18, 2011