Monday, November 29, 2010

dragony bado imekaza buti

jana siku ya jumatatu viongozi wawili walitia timu ndani ya jiji la mwanza.viongozi hao ni mkurugenzi mtendaji DR.ZEDY na mwalimu wa kundi hilo RACHI.walipo ulizwa na mmoja wa wamiliki wa mtandao huu ambae nae ni mmoja wa wasanii wa kundi la dragony alisema tupo hapa jiji mwanza kuonana na wasanii wenzetu lakini lengo kubwa la kuwepo kwetu hapa kwanza ni kujuana na pili nikubadirishana mawazo.ili kuleta ushindani katika tasnia ya filamu. hivi sasa tunatoka kuonana na wasanii wa tunda sanaa group mkurugenzi wa kundi hilo bwana juli tax ametupa ushirikiano mzuri na hata yeye ameahidi kuwa ni mmoja wa wasanii wanao penda kutembelea makundi.

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO