Tuesday, April 12, 2011

babu ajiunga na face book kujibu maswali kwa watu wote.
Kutokana na kuibuka kwa mchungaji ambikile nchini tanzania kumekuwepo na maneno kibao pamoja na vituko mbali mbali vinavyo fanywa na baadhi ya watu. hapa inategemea na mtazamo wa mtoa kituko mean kwa wale wanomkubali babu na wale wanao mpinga babu katika ppita pita yangu nimekutana na hii ambayo kwangu imeniweka katika MTANZIKO  huwezi amini hata mimi baado najaribu kutafakari kama kweli jambo hili linawezekana au usanii wa watu tu ambao wameanza kutumia picha zake kama avatar zao    embu cheki haa na wewe GONGA HAPA

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO