Thursday, August 18, 2011

SAFARI YANGU TOKA KATORO MPAKA SHELUI

tembea uone hili nalo lilikuwa ni neno tu kwangu lisilo na maana yoyote lakini jinsi nilivyokuwa natembea sehemu mbali mbali ndivyo hili neno lilivyo kuwa linazidi kujengeka ndani ya kichwa changu na kuleta u maana halisi.

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO