Saturday, January 1, 2011

KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU TUMEAMUA KUITOA ILE POST YA AIRTEL. NA MBADALA WAKE TUTAKUWA TUKIJADILIANA MAMBO MUHIMU KATIKA MATUMIZI YA SIM CARD NA HANDSET KWA UJUMLA WAKE.

 JEE UNAJUA KUWA UNAWEZA KUZUIA SIMU USIZO ZIHITAJI?  HIII INAWEZEKANA JAPO NI BAADHI YA AINA YA SIMU. HIVYO WAWEZA KUELEZA AINA YAKO YA SIMU NA TUKAJARIBU KUKUTATULIA TATIZO.

3 comments:

  1. Mkuu je hii ni kwa AIRTEL pekee au kwa VODA, TIGO nk?

    ReplyDelete
  2. yes bro ni kwa simu za voda na airtel pekee ndizo ninazo weza zaidi ya hapo bado nafanya utafiti kwa simu zingine.

    ReplyDelete
  3. kwanini watu wengi sasa hivi wana pigasa sana kwa ajili ya mapenzi wakati huo huo wanaacha kujisshugulisha na mambo muhimu ya kuleta maendeleo ya jamii?

    ReplyDelete

TOA WAZO LAKO