Monday, January 10, 2011

DRAGONI YAPIGA PICHA YA VIDEO (DEMO)

kutokana na maandalizi makali ya mazoezi uongozi wa kundi la sanaa mjini kahama limeamua kupiga picha ya video ili kupima uwezo wa wasanii pamoja na uwezo wa production.mkrugenzi wa kundi hilo bw zawadi(dr.zedy) alikaririwa na wamiliki wa mtandao huu akisema. nimeamua kuwapima uwezo vijana ili tuone namna gani wanaweza kumudu katika camera pamoja na jinsi wanavyo pafom.hivyo aliwataka wapenzi wa filam na wadau wakae tayari kuona hicho kipande na maoni yao.

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO