Wednesday, April 6, 2011

mmoja achezea kipigo kwa kujifanya nae kaota.

kama kawaida ya tabia za wengi duniani ni kufanya kitu kwa kuiga.jana kuna mtu kachezea kichapo baada ya kuwatangazia watu kuwa nae kaoteshwa kwamba nae anatibu magonjwa yote kama babu.

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO