Wednesday, August 31, 2011

IKIWA HALI NDIYO HII TUTAEPUKA KIPINDUPINDU


samaki wanauzwa
samaki wakiwa wanauzwa
Hali inakuwa tata sana kwa wakazi wa Kahama ,ambapo inaonekana fika idara ya afya kushindwa kuwadhibiti wafanyabiashara wa samaki katika maeneo ya biashara .Inaonekana dhahiri mlipuko wa magonjwa yakipindupindu yaweza kutokea wakati wowote kutokana na kutokudhibiti hali ya usafi katika soko dogo wilayani Kahama.

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO