Wednesday, August 31, 2011

TAMASHA LA VODACOM,CRDB,NA KAMPUNI YA BIA LASABABISHA USUMBUFU NA MSONGAMANO WA MAGARI KAHAMA.

Tamasha la vodacom linalo tarajiwa kufanyika leo mjini kahama limegeuka kelo kubwa na usumbufu baada ya kufungwa kwa barabara kuu.na badala yake kusimikwa jukwaa kubwa kwa ajili ya kufanyia tamasha hilo.huku huku viwanja vingi vya wazi vikiachwa bila sababu yoyote ya msingi

wasanii wanaotarajiwa kushiriki katika tamasha hilo ni pamoja na:

1.seif shabani aka matonya
2.ney wa mitego
3.joslin
4.quick racca
5.selemani msindi aka afande sele


pia watakuwepo na wasanii wa vichekesho
1.senga
2.pembe NA wengine kibaoo.

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO