Thursday, September 1, 2011

HATA WANAWAKE SASA WAMEINGIA LASMI KATIKA FANI YA WIZI,UJAMBAZI,NA UCHOMOAJI KAURI MBIYU YAO NI Haki sawa Kwa wote.  1. anakimbilia katika mji wa watu kumba mssaada
mwenye duka anamuamulu avue nguo zote

anakimbilia katika tempo ya wahindi

jamaa anamshushia kichapo
anakimbia kujiokoa
baada ya kuvuliwa nguo
kahama kumeibuka na wimbi la wezi wanawake wanao iba katika maduka kwa kutumia taimingi na wepesi wa hali ya juu.kutona na kushamili kwa wizi wa aina hiyo katika maduka baadhi ya watu walianza kuamini kwamba wanao iba wanatumia nguvu za giza. hata hivyo imani yao ilbadilika gafla baada ya wa dada wawili kukamatwa na baada ya kupigwa sana walikubali kwamba wao ni wezo wanaoiba kwa mahesabu.
mmoja wa hao wadada wezi alifumaniwa katika duka la nguo hapo uhindini kahama mjini ni baada ya mwenye duka kutoka kwenda duka la pili kuomba chenji dada mwizi aliingia kama umeme na kukomba simu pamoja na  pesa laki moja.kwa bahati nzuri kabla hajatoka humo dukani mwenye duka ailfika kafla na kumuuliza kwanini ameingia dukani bila idhini. baada ya mwizi kushindwa kujitetea alishushiwa kichapo ambacho kilisababisha baadhi ya watu kujaa hapo mwenye duka alimuamulu avue nguo zote na kuanza kumsachi alifanikiwa kupata vitu vyote.baada ya hapo alimtoa nje ndipo kundi la wananchi lilipo mvamia nakuanza kumpiga. kama si kukimbilia katika jumba la kuabudia wahindi basi pengine watu wangemuuwa.

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO