MATANGAZO

Friday 2 September 2011

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu (Most vulnerable children

Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Africa zinzokabiliwa na wimbi kubwa la watoto wanoishi katika mazingira magumu .
Utafiti ulliofanyika ulitambua makundi mbalimbali ya watoto hao ikiwa ni pamoja na -
1. Watoto yatima ( Orphan children)
2. Watoto wenye ulemavu ( Children with disabilities)
3.. Watoto wanaojilea ( Children parents)
4. Watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi (Children with HIV/AIDS)
5. .Watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albino)
6.. Watoto wa mtaani (Children in/of street)
7. Watoto walioathirika kwa ubakaji (Children victim of rape)
8. Watoto wanaolelewa na wazee kupindukia (Children in eldery families)
9. Watoto walio kwenye ajira hatarishi (Children in exploitative labour)
10. Watoto walio kwenye biashara ya ngono ( Children sex workers)
11. Watoto wenye magonjwa sugu k.m. kifafa ( Chronicaly ill children)
12. Watoto waliopata mimba za mapema (Early pregnancy)
13. Watoto waliotelekezwa (Children in foster families)
14. Watoto walioathirika kwa madawa ya kulevya (Drug abuse children)
15. Watoto waliolazimishwa kuingia kwenye ndoa (Forced marriage)

HOJA.
1. Jamii inajua nini kuhusu makundi haya ya watoto?
2. Mikakati gani ifanyike ili kuhudumia makundi haya ya watoto hasa vijijini?
3. Serikali ichukue hatua zipi ili kunusuru maisha na ongezeko la watoto hawa?
4. Njia gani zitumike ili kupata takwimu zinazoonyesha tatizo hili kila wakati kitaifa?

No comments:

Post a Comment

TOA WAZO LAKO